kichunguu............ni suala muhimu hili lakini pia tusisahau kuwa watanzania wengi wanaoruhusika kupiga kura hawaendi kupiga kura.
wanafunzi wa kuanzia form 4 na hata form 3 (kwa waliochelewa kuingia shule) wanatakiwa kupiga kura kwa mujibu wa sheria za nchi.
hebu tuhakikisheni tunatoa hamasa kwanza kwa kila mwenye kuruhusika kisheria kupiga kura anafanya hivyo...........na akienda kupiga kura, kura yake aitumie vizuri.