Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Target: NECTA form four results in local areas.
Nimekaa nikawaza hapa mjini siku hizi karibu kila mtu ana simu ya kuweza kuangalia matokeo ya kidato cha nne pia kuna internet cafe kibao na pia network ipo mwake.
sasa nlichojifunza chuoni ni kwamba "lack of service means an oppurtunity to entrepreneurs" nkimaanisha ya kwamba sehemu ambapo hakuna huduma ndio sehemu nzuri ya kuwekeza.
Huku mjini hii biashara haitalipa ila Kama ilivyokuwa mwaka jana nna uhakika nikienda kijijini ambako internet ni tatizo hii itabaki kuwa fursa kwangu, nmeshaplan kwenda kijiji fulani.
Chenye shule 5 za Sekondari na hicho kijiji internet ni tatizo pia umeme ni tatizo, plan yangu ni kwamba matokeo yakitoka tu mi naya "download" nafunga safari kwenda kuonysha matokeo kwa 1,000/= kila mwanafuzi leo hii.
Nimetoka huko na nishapata chumba kiti na meza kwa ajili ya shughuli nitayofanya hiyo siku.
Mwaka jana nlipata around 600k kwa hawa form four ila kwa form six nlitingwa na chuo ila kuna rafiki yangu alibutua around 150 k,
"BEST WISHES KWA WOTE MTAKAOJARIBU"