Tumia Macho uliwe kichwa...

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kila mtu sasa hivi macho mbele, macho kodo
anatafuta'Somebody material'ajibanze ili apewe
nafasi ya kuwa aidha Raisi wa Familia(MME) au
ateuliwe kuwa Waziri Mkuu wa Familia(MKE)
Tumia Macho uone... Utaibuka na gubegube limetumika balaa,limechosh
wa limetobolewa -tobolewa kama neti ya msaada
kwa watu wa marekani,halafu likifika kwako lina-
kuektia, kwa adabu,unapewa maji anapiga
goti, unaitwa Mme wangu wara 79 kwa siku..Kila kitu
mme wangu, umepiga mswaki mme wangu,umetoa nyama kwenye meno mme wangu, mme wangu this
and that... Ukikaa kibla tu Ngassa anatikisa Nyavu
Mtaani kila mtu Wife/ Husband Material...Kila
ukimuuliza hobby yake anakwambia ana hobby ya
kuimba kwaya, mtu huyohuyo mlevi wa kutupwa
anafahamu Gesti zote mjini kuliko anavyofahamu Table ya 7.....Anakwambia i love kids so much wakati
ametoka kutoa Mimba ya 9 wiki 3 zilizopita..
UKICHAGUA KWA MACHO NDOA ITAKUTOA
MACHO...THIS WORLD IS FULL OF PRETENDERS...ASK
GOD FOR GUIDELINES...Kila mtu mtaani amekuwa
msanii kuliko Vincent Kigosi
 
Wewe jamaa unawuwa mno ndio maana inakuwa ngumu kwa watu kukoment du yaani huachi kitu
 
twende kazi
baelezeee
ila man unaponda sana aise
jaribu kubalance story zake kwa wanaume pia
 
Hata Anakupa pole huku anakupepea
 
Ahahaa nikurushie ka vocher bro kwa hii post ya kumalizia mwezi.
 
Yupo Yesu Kristo anayeweza badilisha maisha ya mtu na kuwa wa tofauti. Mtoa mada umewalenga sana wadada maana ndio huwa wathirika wakubwa katika mahusiano. Wanaume tunawatendea wanawake vibaya sana. Kumbuka hakuna aliyepeka maombi kwa Mungu azaliwe wa jinsia gani wote tumejikuta tulivyo mwanamke na mapungufu take mwanaume na mapungufu yake pia. Tunatumia vibaya sana kile Mungu alichoweka kwa mwanamke "trust" kwa kuwafanyia hila na kuwadanya ili tupate tubachotaka tukipata hao nduki tena kuna wale waliokosa adabu wanatoa siri zao nje kwa watu wengine ili kumchafua. Hii sio njema na ni laana. Namshukuru sana Mungu tulioachana nao hadi hivi Leo tuko peace kabisa na wengine kwa siri hutaka kurudi ila huwa napotezea kwa jinsi ninavyowaheshimu na kuwathamini pia kuwaombea. Dada zangu wala msijihukumu kwa mliyofanya zamani njooni kwa Yesu afute dhambi zenu na kuwafanya upya na imara .
 
baby i like your pembe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unauhakika na UNACHO KINENA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…