Tumia mbinu hii kupata chai inayonukia vizuri na yenye ladha

Nima Imma

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
2,473
Reaction score
3,669
,.........habarini wana jf......

Kila mmoja anajua kuchemsha chai ila ni wachache wanajua kupika chai

[emoji626] Chai n pishi kama pishi nyingine ,,,lakini tunavyoliandaa wengi wetu hukosea

Kama unapenda chai ya majani basi hakikisha unaweka majan ya chai pale tu unapobandika jikon ,,funika sufuria ya chai wacha chai ichemke vyema kabisa na si pale ikichemka mara moja waipua

[emoji626] Kama unatumia viungo hakikisha unatumia viungo sahihi mf. Kuna mdalasini mzuri sana wa kupikia chakula ila si mzuri sana wa kupikia chai kwa hiyp ni muhu kujua kutofautisha viungo,,ili kupata matokeo mazuri ya chai ya viungo halilisha unatwanga ama kusaga viungo vyako ama kuvivunja vunja kisha tia maji kwa sufuria na maji baridi ,,funika sufuria yako wacha chai ichemke vyema kabisa ukinywa utaona ina ladha nzuri zaidi kuliko ile ikichemka tu waipua ....by Naima
 
Nina mpango wa kuwa baba ntilie. Nachukua maujuzi humu.
 
Swadaktaa. Mambo yangu haya.ngoja nijongee jikoni, nishtue kitu cha tea masala.
 
3737cd4c409a89ef274c6e3081953f83.jpg

Hao ni wetengenezaji wa majani ya chai wanasema hvyo hasa labda na wewe utuletee walau mtaalamu mmoja wq chai mwenye mawazo kama yako
 
Ukitaka kupata chai Tamu

Bandika sufuria yako jikon ..weka maji.

* kama unapenda viungo weka ..viungo vichanganyike vizuri na maji ....wacha yachemke***

yakishachemka ipasavyo....tia majani ya chai...yachemke kdg tu usiyakawize

** MAJANI YA CHAI YAKICHEMKA SANA CHAI HUWA CHUNGU***

Epua...chuja ..enjoy chai yako!!

wawezza changanya na maziwa mwanzon kama ya maji....au ya unga chai ikiiva jinsi upendavyo
 
,.........habarini wana jf......

Kila mmoja anajua kuchemsha chai ila ni wachache wanajua kupika chai

[emoji626] Chai n pishi kama pishi nyingine ,,,lakini tunavyoliandaa wengi wetu hukosea

Kama unapenda chai ya majani basi hakikisha unaweka majan ya chai pale tu unapobandika jikon ,,funika sufuria ya chai wacha chai ichemke vyema kabisa na si pale ikichemka mara moja waipua

[emoji626] Kama unatumia viungo hakikisha unatumia viungo sahihi mf. Kuna mdalasini mzuri sana wa kupikia chakula ila si mzuri sana wa kupikia chai kwa hiyp ni muhu kujua kutofautisha viungo,,ili kupata matokeo mazuri ya chai ya viungo halilisha unatwanga ama kusaga viungo vyako ama kuvivunja vunja kisha tia maji kwa sufuria na maji baridi ,,funika sufuria yako wacha chai ichemke vyema kabisa ukinywa utaona ina ladha nzuri zaidi kuliko ile ikichemka tu waipua ....by Naima
Naima napendaga kwa vitu km hivi lete nyingine tujifunze tena
 
chalii wewe kabila gani
 
Kikohozi, ngoja nichemshe tangawizi nyingi sana maji kidogo.
 
Back
Top Bottom