Tumia msalaba kuwashinda wachawi

Tumia msalaba kuwashinda wachawi

bongodili tele

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
1,520
Reaction score
3,022
Kama unasumbuliwa na hawa wapumbavu ukiwa umelala unaota ndoto mbaya au unahisi wanakujia usiku au unaweweseka au watoto wanahangaika kuweweseka usiku weka msalaba wa Yesu Kristo juu ya neti au mbele ya kitanda chako kwa juu ya kichwa au ukutani ndani ya chumba chako ukutazame wewe ,hao wapumbavu wachawi au majini hayatokugusa.
Ushuhuda wa hili ni mwingi,Fanya ulete mrejesho.
Juu ya neti kama ni
Ule msalaba wa Roman Catholic uweke utazame juu.
 
Hupaswi kuwaogopa Wala kuteswa na hawa wapumbavu sijui jini mchawi takataka zingine wakati silaha umepewa bure,uhitaji kununua mafuta,maji au chumvi ya upako.
 
Kama unasumbuliwa na hawa wapumbavu ukiwa umelala unaota ndoto mbaya au unahisi wanakujia usiku au unaweweseka au watoto wanahangaika kuweweseka usiku weka msalaba wa Yesu Kristo juu ya neti au mbele ya kitanda chako kwa juu ya kichwa au ukutani ndani ya chumba chako ukutazame wewe ,hao wapumbavu wachawi au majini hayatokugusa.
Ushuhuda wa hili ni mwingi,Fanya ulete mrejesho.
Juu ya neti kama ni
Ule msalaba wa Roman Catholic uweke utazame juu.
Hata ulale na biblia na msahafu kama huna kitu rohoni wahuni watakushenyenta tu
 
Hatabulale na biblia na msahafu kama huna kitu rohoni wahuni watakushenyenta tu
Vita za kiroho upiganwa kiroho, so ni sahihi hayo mambo ya msalaba sijui manini hawaogopi kama roho yako iko mbali na unachokitenda.
 
Back
Top Bottom