hii kitu nimefanya mimi,kuna tatizo lipo sijajua linatokana na hii extrnal router au ni company yenyewe ya fiber ndio wamelimi...ipo hivi mimi nina tumia fiber ya hawa netsolution na extrnal router natumia ya airtel zile za kwanza..issue inakuja ili niweze kulog in kwa hii router ya pembeni lazima nijidisconect kwenye main router kwanza ndio napata acces ya kuingia.. then nikishamaliza ndio ni restart hii kitu inaniboaa mbaya.. je ndivyo inavyotakiwa iwe???