Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wengi tunapenda kujenga nyumba kubwa ikiwa na vyumba vingi mara maktaba, vyumba vya wageni n.k lakini kiuhalisia ni vyumba vichache vinavyotumika, utakuta labda nyumba ina vyumba vitano, na wakaaji katika hiyo nyumba labda ni watu watatu tu au wawili.
Kwa mazingira hayo nyumba inawapwaya ikiwa ni sawa na kuvaa bukta kubwa ya cm 200 wakati wewe kiuno chako ni cm 60.
Kwa mazingira hayo ni vizuri kubadilisha baadhi ya vyumba kuwa ofisi ili iweze kukuingizia kipato na kuwafanya nyie watumiaji kuwa 'active'.
Unaweza kufungua ofisi ya 'youtube channel' n.k na maisha yakaendelea.