Tumia Soko la Hisa kujenga utajiri Mkubwa

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
3,422
Rafiki yangu mpendwa,

Watu wengi wanaposikia soko la hisa, huwa wanadhani ni kitu kikubwa na kigumu sana ambacho hakiwahusu wala hawawezi kukielewa.

Lakini huo siyo ukweli, soko la hisa ni kitu rahisi kueleweka na kutumika na kila mtu kwenye kujenga utajiri na uhuru wa kifedha.

Mwandishi J L Collins kwenye kitabu chake kinachoitwa THE SIMPLE PATH TO WEALTH ameshirikisha jinsi ambavyo soko la hisa ndiyo nyenzo muhimu ya kujenga utajiri. Karibu tujifunze hilo hapa na hatua za kuchukua ili kulitumia soko la hisa vizuri.

Mambo Muhimu ya Kujua Kuhusu Soko la Hisa.

Watu wengi wamekuwa wanakwama kunufaika na soko la hisa kwa sababu kuna mambo muhimu wanakuwa hawayajui. Hapa kuna mambo muhimu ambayo kila mtu anapaswa kuyajua kuhusu soko la hisa ili kunufaika nalo.

1. Anguko la soko la hisa ni kitu cha kutegemewa. Soko la hisa limepitia maanguko mbalimbali huko nyuma na litapitia maanguko mengine siku zijazo.

2. Soko huwa linapanda baada ya anguko. Hii ni uhakika na mara zote. Soko huwa halianguki na kubaki chini, bali huwa linapanda baada ya muda. Na kama itatokea soko la hisa lianguke na lisirudi tena, uchumi mzima utakuwa umeanguka, hakuna kitakachobaki salama.

3. Soko mara zote huwa linakua. Kwa muda mrefu, thamani ya soko la hisa huwa inakua. Kwa muda mfupi litaonyesha kupanda na kushuka, lakini kwa muda mrefu kunakuwa na ukuaji mzuri.

4. Soko la hisa ndiyo uwekezaji unaofanya vizuri sana kuliko uwekezaji mwingine wowote. Ukilinganisha mtaji unaowekezwa, muda na majukumu ya mtu kwenye uwekezaji, soko la hisa ni bora.

5. Miaka 10, 20, 30, 40, na 50 kutakuwa na maanguko mengi ya soko la hisa kama ilivyokuwa huko nyuma. Hakuna anayeweza kutabiri kwa usahihi ni lini anguko litatokea, lakini linatokea.

6. Unapaswa kuwa imara wakati wa anguko la soko, ili uwe tulivu na upuuze kelele za wale wanaokuambia uuze uwekeaji wako. Ukiweza kuendelea kuwekeza pale soko linapoanguka, utajenga uwekezaji mkubwa zaidi.

7. Ili uweze kuwa imara, unapaswa kujua kihisia kabisa kwamba nyakati ngumu zitakuumiza sana. Unachopaswa ni kuvumilia na hilo litapita.

8. Wakati wa anguko la soko ndiyo wakati mzuri wa kununua uwekezaji, maana unaupata kwa bei rahisi sana.

Muhimu zaidi ni kuwa imara nyakati zote na kutotaharuki kwa sababu lolote linalotokea siyo mwisho wa dunia.

Kwa Nini Watu Wanapoteza Pesa Kwenye Soko La Hisa.

Pamoja na soko la hisa kuwa nyenzo nzuri ya kila mtu kuweza kutumia kujenga utajiri mkubwa, bado watu wengi wamekuwa wanapoteza fedha kwenye soko la hisa. Zipo sababu ambazo zimekuwa zinapelekea hilo. Na baadhi ni kama ifuatavyo;

1. Wanafikiri wanaweza kulivizia soko, kwamba watanunua hisa zikiwa bei chini na kuuza zikiwa bei ya juu ili wapate faida. Ni rahisi kinadharia, lakini kwenye uhalisia ni ngumu sana, wengi hawawezi.

2. Wanaamini wanaweza kuchagua hisa moja moja kwa ubora. Kwa mwekezaji wa kawaida kuwekeza kwenye hisa moja moja ni vigumu sana kuweza kuchagua kwa ubora. Hiyo ni kwa sababu soko la hisa linakuwa na makampuni mengi na kujua ipi bora siyo rahisi. Hivyo njia sahihi ni kuwekeza kwenye mifuko ya pamoja inayowekeza kwenye soko la hisa badala ya hisa moja moja.

3. Wanaamini wanaweza kuchagua mfuko wa pamoja wenye usimamizi bora. Kuna mifuko ya pamoja ya uwekezaji ambayo huwa inajaribu kulivizia soko, na hiyo huishia kupata hasara. Kuwekeza kwa kutumia mifuko ya aina hiyo ni kupata hasara. Ni vyema kuchagua mifuko inayowekeza kwenye soko zima na yenye gharama kidogo.

4. Wanahangaika na povu badala ya bia yenyewe. Mfumo mzima wa uwekezaji ni sawa na kumimina bia kwenye glasi, ukimimina haraka, povu linakuwa juu na bia inakuwa chini. Unachotumia siyo povu, bali bia yenyewe. Kwenye uwekezaji, bia ni thamani ya kampuni husika na povu ni kupanda na kushuka kwa bei ya hisa. Wewe usihangaike sana na mwenendo wa soko, bali angalia thamani ya kampuni husika, kama ipo vizuri, wekeza.

Kwenye somo hili tumepata uelewa wa msingi wa soko la hasa kupanda na kushuka na kuepuka kupoteza.

Nenda kayaweke haya uliyojifunza kwenye matendo ili uweze kujenga mafanikio makubwa kwenye maisha yako kwa kuiishi kila siku yako kwa mafanikio makubwa.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,

Kocha Dr. Makirita Amani,

Daktari Mwandishi, Kocha, |Mkufunzi

+255 678 977 007 / amakirita@gmail.com
 
Ungekuja na mifano ya kampuni zilizo stable na zinazo uza hisa.
 
Msaada kwa masoko ya hisa maaana nimenunua hisa katika bank ya yetu microfinance tangu mwaka 2018 mpaka sasa nataka kuziuza
 
Kwan ulivyo nunua ulinunua Je? Na kwanini Una sell hisa Zako?
 
Nataka kununua hisa za GSM, Ila najua haiwezekani
 
Ok
 
Naomba maendeleo ya HISA za Vodacom Tanzania.
Asante

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kaka napenda kusoma mada zako. Unafanya vizuri na wengi tunafaidika.

Lakini niulize swali la kizushi, wewe ni Dr. PhD au medical doctor? Maana naona umetumia initials za Dr.

Kama siyo, nakushauri usitumie hizo initials. Usijiite Dr.

Unaonekana ni scammer. Maana wengi wanajipachika udaktari kuonyesha kwamba wamesoma au they know more. Refer akina Msukuma nk….

Kama wewe ni PhD holder, Hongera sana and keep doing your things.
 
Back
Top Bottom