Kila jambo linaanza panapokuwa na chanzo, mambo kama maisha, ndoa, mafanikio, umasikini, magonjwa n.k.
Wanadamu tuna fursa ya kubadili hasi kwenda chanya, kila mmoja wetu anatamani kubadili lililo tatizo kuwa fursa au faraja. Unapokua na afya mbaya utahangaika ili upone, unapokua huko sawa kiuchumi utatamani ubadili hali hii.
Hivyo basi kwa kuwa penye tatizo ndipo pana mwanya, changamoto ni njia pekee inayokupa fursa ya kuhamasika kuendelea kufanya vema zaidi katika nyanja yoyote, leo wengi wetu tunatembea tukiwa wagonjwa ila kwakua hatuna utaratibu wa kupima afya mara kwa mara tunabaki kuishi na magonjwa hayo, pia tazama wale ambao wazazi wana mali nyingi na utajir, wengi wao huishia kutegemea utajiri huo, hivyo hawazalishi changamoto mpya zitakazowakuza kifikra na mtazamo wa maisha ya mbele, endapo hutafanya juhudi zaidi ya pale uwezowako ulipoishia, hutaweza kukua.
Na mwandishi wako Singo.
Rejea katika hii video itakayokupa msisimko.

Upvote
1