Tumieni Condom, msidanganyike

 
Mkuu mi nashaur kitu kinachowezekana,unaeza kuacha wewe mwenzio akawa anafanya kama kawa
 
Ukimwi ni ajali kama zingine mkuu..,

Kutumia condom ni sawa na kujitekenya huku unajichekesha mwenyewe..

Dawa ni kutulia na mmoja tu.
Hill ndilo neno LA maana, mengine ni michemusho tu!
 
Ngoma sio tatizo sana siku hizi, watu qenye tatizo hilo wengi wanakunywa dawa, na ukinywa dawa vizuri uwezekano wa kuambulizwa ni mdogo sana, lakini pia hata ukiupata, arv zimeboreshwa sana ni kidonge kimoja tu kwa siku na pombe unakunywa, so tusiogope sana ukimwi.
 
Hii ni kulingana na WHO ( A large body of scientific evidence shows that male latex condoms have an 80% or greater protective effect against the sexual transmission of HIV and other STIs).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…