Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Teh teh teh!mkuu umenichekesha sana!... Mkuu nimejaribu kukuza maandishi ili niyasome imeshindika kwenye cm yangu ya mchina. Alafu naona kama imeandikwa kwa lugha ya nchi za nje vile!
Huwa wanapikia pilau na mchuzi wa nyama!teh teh teh!pilau yenyewe mbaka sikukuu!MziziMkavu' hii dawa unatumiaje?
Naomba kujua matumizi yake tafadhari.
... Mkuu nimejaribu kukuza maandishi ili niyasome imeshindika kwenye cm yangu ya mchina. Alafu naona kama imeandikwa kwa lugha ya nchi za nje vile!
MziziMkavu' hii dawa unatumiaje?
Naomba kujua matumizi yake tafadhari.
Mkuu@kasiko unga wa mdalasini unatia ndani ya mchuzi au unga wa Mdalasini kijiko 1 unachanganya na maji ya moto na kijiko kimoja cha asali unakunywa asubuhi kabla ya kula kitu.MziziMkavu' hii dawa unatumiaje?
Naomba kujua matumizi yake tafadhari.
Nazani hali ya kiuchumi nayo ni tatizo!Hamia dijitali bhanaaa....sasa mkuu unaingia jukwaa la picha na simu ya mchina, huku maneno machache ila picha nyingi!!
Mkuu Gwangambo Dawa zangu 3 ninazotibu kwa gharama ya pesa ya kwanza ni mtu aliyepungukiwa nguvu za kiume na anataka kuongeza nguvu ya kiume anione mimi, na ya pili Mtu ambaye anayetaka kupunguza unene na uzitoMzizi Mkavu, utakufa maskini, cheki mwenzako Babu wa Loliondo keshatoka. Tangaza umeoteshwa na unatibu ukimwi. Mi-Bongo kiibia ni rahisi tu, inapenda ushirikina zaidi ya utaalam na Uwezo wa Mungu.
Mkuu Gwangambo Dawa zangu 3 ninazotibu kwa gharama ya pesa ya kwanza ni mtu aliyepungukiwa nguvu za kiume na anataka kuongeza nguvu ya kiume anione mimi, na ya pili Mtu ambaye anayetaka kupunguza unene na uzito
anione mimi na ya mwisho mtu mwenye Mashetani au mwenye pepo mbaya anaumwa ameshakwenda hospitali kutibiwa hajapona anione mimi kwa gharama za pesa na pia waweza kunitumia Barua ya Pepe Email yangu Address ni hii hapa
fewgoodman@hotmail.com au pia waweza kutembelea Thread zangu zipo hapa bonyeza https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html https://www.jamiiforums.com/jf-doct...to-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini-4.html
lakini Mkuu husikandamize sana mabei maana walalahoi ni wengi
Hapo kwenye mashetani mwone Yesu na hakuna gharama