Hapo kwenye mashetani mwone Yesu na hakuna gharama
Mkuu Mokoyo Sikandamizi bei ninajuwa kuwa kweli walala hoi wengi ila Dawa zangu huwa zinapatikana nje ya nchi ingelikuwa zinapatikana hapo hapo nyumbani Tanzania poa tu ingelikuwa ni rahisi lakini upatikanaji wa Dawa zangu ni nje ya nchi tena mbali na hapo kwetu Tanzania ndio maan a Dawa zangu zinakuwa kidogo bei kubwa.lakini Mkuu husikandamize sana mabei maana walalahoi ni wengi
MziziMkavu kuna jamaa yangu mmoja fungal infection imemkamata pabaya nitamshauri
Mkuu NyasigwaMkuu hujatuambia Mdalasini inatibu magonjwa gani
Kwani kungelikuwa na Faida gani Duniani Mwenyeezi Mungu angeliumba Mwanamme peke yake au Mwenyeezi Mungu angeliiumba Mwanamke peke yake pasipo na Mwanamme? Unaweza kutumia Mdalasini peke yake kwa kuchemsha kwenye chai lakini ukitaka kwa mambo ya Tiba Tumia Mdalasini na Asali Safi mbichi Asali ndio Mume Mdalasini ndio Mke tumia pamoja kwa faida ya kila Maradhi mjukuu wa mshamboMziziMkavu kwani lazima vitumike vyote ili kuweza kuona faida hzo??,
.....naulza hvo kwa sababu me huwa natumia mdalasini peke yake kwenye chai kama mbadala wa majani ya chai????
je namimi kuna faida nayopata?!