Tumjadili mume *****.

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
6,781
Reaction score
1,647
asalam aleikum, ndugu zangu wna jf hebu tujadili sifa kuu za mume *****. 1. HUSHAWISHIWA NA MKEWE ADHARAU,AWACHUKIE NA KUWATENGA NDUGU NA WAZAZI WAKE...endeleza sifa........
 
asalam aleikum, ndugu zangu wna jf hebu tujadili sifa kuu za mume *****. 1. HUSHAWISHIWA NA MKEWE ADHARAU,AWACHUKIE NA KUWATENGA NDUGU NA WAZAZI WAKE...endeleza sifa........

Hili halina ukweli wowote. Wanawake wenye tabia kama hizi ni wale ambao hawajiamini na wanaodhani kwamba mume kuwa karibu na ndugu zake basi ni kuhatarisha uhai wa ndoa yao. Nimewaona Wake wengi tu ambao wanaweka jitihada za hali ya juu ili wawe karibu na ndugu wa mume wakiwemo Wazazi wa mume.
 
asalam aleikum, ndugu zangu wna jf hebu tujadili sifa kuu za mume *****. 1. HUSHAWISHIWA NA MKEWE ADHARAU,AWACHUKIE NA KUWATENGA NDUGU NA WAZAZI WAKE...endeleza sifa........

Ukiwa na mume wa hivyo basi ujue umeopoa zumbukuku!
 
Awe na mbwembwe kidogo, ajue kupiga mashine vizuri, awe msafi, anukie, asiwe mmbea, awe na uwezo wa kuitazama k**a hadi machozi yamtoke!

Raha ya mfume dume ndiyo huu. Jambo hata liwe baya lazima kibao kimgeukie mwanamke. Shauri yako msofe umeyataka mwenyeweeeeeeeee!
 
Unawazungumzia wamanawake wa zamani au wa sasa??
 
Mume mume tu!hakuna mume bwe.ge!ni maneno ya dharau kwa wanaume!
 
Unawazungumzia wamanawake wa zamani au wa sasa??

Wengi wao niliopata kuwafahamu kwa karibu nimeona juhudi zao kubwa za kuwa karibu na ndugu wa upande wa mume. Sijui unaposema wa "sasa au wa zamani unamaanisha nini"...hebu fafanua hapo.
 
wengi wao niliopata kuwafahamu kwa karibu nimeona juhudi zao kubwa za kuwa karibu na ndugu wa upande wa mume. Sijui unaposema wa "sasa au wa zamani unamaanisha nini"...hebu fafanua hapo.
wanawake wanaopenda kuwa karibu na ndugu wa mume wako wengi sana ila kuna baadhi ya wanawake wanapenda kuwatenganisha mume na ndugu zk ht mke wng anatabia hy.
 
Mwanaume wa kukupenda na kuwachukia na kuwadharau ndugu zake labda utakuwa umempata kwenye viroba.
 
......Kujali familia yake na yangu hii ni sifa bora ya mume.
 
Reactions: BAK
angel msoffe-lengo lako ni nini hasa kabla sjachangia?ni kumfanya mumeo ***** au ni nini hasa!
Mana uliza wazazi ***** pia mana huwa wanafarakanisha mwanamke na mumewe na wanafanikiwa wala haiwekewi vikao.
Labda ungeweka mwelekeo ili watu waufuate hali wakijua wanaijenga jamii au wanaibomoa.
Nafikiri tuko zaidi humu kujifunza so ukifanya ivo itasaidia wengi kutokana na majibu yatakayopatikana.
 
Awe na mbwembwe kidogo, ajue kupiga mashine vizuri, awe msafi, anukie, asiwe mmbea, awe na uwezo wa kuitazama k**a hadi machozi yamtoke!

Awe n uwezo wa...?mungu wangu wewe umeniweza bob nimetoka nje nikicheka 2,ebwanaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…