Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

Kongole!
BEBERUZ wana uwajibikaji siyo wachunga matumbo wetu Africa.
Similarly, huyo asiyefufua ni mchumia tumbo sukuma gang anayetapatapa kutafuta umaarufu.
Kasoma wapi?? Zaidi ya kuangalia conspiracy theories za YouTube??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Utamjibuje mbangaizaji anayetumia ushirikina kisayansi? Dawa ya moto moto na upuuzi upuuzi. Gwajima anatafuta kiki baada ya muungu wake Magu kuondoka.
 
Gwajima ana ajenda zake, huo ndio ukweli.

Kama angetaka kujua, angeweza kujua. Tatizo ana maswali na majibu yake kichwani, hata apewe jibu gani, akili yake haitakubali.
 
GWAJIMA SIO MWANA SAYANI HABARI NYINGI ZA KISAYANSI ANACHAPIA SANA KWA TAARIFA YAKO
 

Kaka utaangaika sana na ivi vichwa vya watanzania,hawataki kuelewa na hawataki kujifunza sababu ukielewa na kujifunza itabidi uwajibike,na hili ndo wasolitaka.Wataendelea kuja na maswali ili ushindwe kujibu, sio wao waelewe unachoongea.

Watu wanaamini ukipata chanjo na usipopata chanjo ni sawa,hawajui ukipata chanjo corona haikupeleki hospitalini wala kukufanya mahututi au kufa.

Wabongo wengi hawajui kuwa wenzetu nchi zilizoendelea hawalali,kila siku wanakesha maabara,wana maresearch magonjwa ya kila aina na wana data nyingi,huku kwetu bado tunaulizana "walijuaje kama kutakuja wimbi lingine la delta?,wamelileta hawa!" Na Ngwaji akibwatuka basi tunaona tuna point za maana,wakati virus kubadirika(mutate) ni asili yake,na hili linajulikana karibun miaka 100 ilopita.

Tunatumia mda mwingi kuwapinga watu walotumia mda wao,akili na elimu zao,pesa zao na uzoefu wao kupambana na gonjwa lililoathiri dunia,sisi hatujatoa wazo lolote,hatujachangia ujuzi wowote,nguvu zozote na wala hatuna mipango yoyote ya kujikinga.

Yaani tupo kama 'spoilt brats' tumeishia kulalamika "kama wanajua sana mbona hawajaleta chanjo ya ukimwi" wakati hatujui hata tuanzie wapi kupata chanjo ya chochote. Corona ipo na inaua, ikitulia bongo kwa miaka mitatu ndipo akili zitatulia ,lakini sitoshangaa watu watageuka na kusema chanjo ndo zimeleta wimbi lingine,tena wasiochanja ndo watasema ivi.
 
Wadau, naomba kuuliza swali.
Ukiacha chanjo kuruhusiwa under Emergency Use Authorization (EUA), Je kisayansi chanjo kabla haijaruhusiwa inatakiwa kutumia miaka mingapi katika kila stages za majaribio(Trials)?
 

Mkuu kwa miaka yangu duniani kama mtanzania nina experience ya kuwaelewa ndugu zangu.

For starters tuna sifa ya unafiki nadhani ndani E.A tunaongoza. Na tabia ya mtu mnafiki (as self defence) popote duniani anapokuwa wrong badala ya kukubali makosa yake to justify their ill actions mbele ya kadamnasi atatunga uongo zaidi to vilify his victim.

Kwa hivyo wala sishangai mtu kama Gwajima kuja na madai ya viongozi kuchanjwa maji na ujinga mwingine anaowalisha his gullible audience in his attempt to vilify government actions.

Hata humu tunapojibizana na watu for the most part is to pass time only some days.

Hila ukitaka serious debates na watanzania utakutana na watu nadra sana wenye hoja za merit wapo hata humu JF but they just don’t bother anymore.

Mie mwenyewe baada ya sakata la mafuta nimegundua kuna vitu vingine kutumia nguvu kuelezea ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama wahusika awaelewi mtu akililipua hilo Tank ndege zako hazipai wala vifaru avitembei anakucharaza tu hewani na target zake.
 
Nyie kina mama mnaokaribia kumaliza hedhi sijui kwanini mnakuwaga na genye sana,ona sasa unavyo vamia watu ovyo.
Wewe ulishamaliza bint yangu? Hongera.maana naona unatokwa povu kila sehemu yako ya mwili. Maisha kama yanakushinda usiwe na hasira ...tulia tafakari. Unawatukanisha wazazi wako waliokuzaa kuwa waliishia kukufundisha lugha hiyo tu akili hukupata...πŸ˜‚
 
Gwajima amekataa kuwa mnafiki anasimamia anachoamini. Ajibiwe hoja zake. Yaani watu badala ya kujibu hoja wanaanza matusi. Mtu akianza kutukana wafuasi wa gwajima au gwajima mwenyewe ni kuwa amekosa hoja marekani kwenyewe waliochanjwa ni wachache hawafiki asilimia 10 mpaka wanaaahidiwa pesa na wanakataa ...kwa nini wewe mswahili uone kuwa gwajima anakosea bila kutoa majibu kwa hoja zake? Use your brain....msiwe wafuasi wa mtu yeyote. Zijibiwe hoja zake.

 
Mkuu, naomba kuuliza swali.
Ukiacha chanjo kuruhusiwa under Emergency Use Authorization (EUA), Je kisayansi chanjo kabla haijaruhusiwa inatakiwa kutumia miaka mingapi katika kila stages za majaribio(Trials)?
 
Nilipo ona umetumia data za hao hao walio pachika jina pandemic kwenye ugonjwa ambao sio pandemic,nimeacha kusoma bandiko lako.Utatumiaje data za walio tengeneza chanjo kuhalalisha uzuri wa chanjo hiyo?Kwa chanjo hizi palipaswa kuwa na independent verifiers,you can't be your own judge.

Apart from that,tatizo linaloitwa C-19 lina letwa na deliberate air pollution,ila wanasingizia virus ambaye wala hajawahi kuwa tatizo ili kutekeleza ajenda zao za kishetani.Na sisi bila kujua tumetekwa na uzushi wao,very sad.
 
Duh, Ivi kuna mtaalamu yeyote kwenye taaruma ya utabibu unaemsikilza kuhusu corona au unaishia kwa Ngwajima tu?!.Wengi wanaongelea hili na washajibu hoja za ngwajima,wengine wanampuuza sababu aloongea mengi hayaendani na uhalisia wa sayansi,yaani kachapia sana na vingi alivoongea havina ukweli.Nakushauri nenda instagram na mtafute 'seceangie' utapata majibu yako.
Alafu unaandika USA hata asilimia waliochanjwa america hawafiki hata 10%!?! We unaishi dunia gani,amerika waliochanja ni zaid ya 70% ya population yao.
 
Hasira anazo yule mbwa mwenzako baada ya kuona bwana wenu amejifia zake.
 

Covid: What do we know about China's coronavirus vaccines?​

Published13 July
Share
Related Topics
IMAGE SOURCEGETTY IMAGES
image captionSinovac is a Beijing-based pharmaceutical company
Chinese vaccine producers Sinovac and Sinopharm have signed on to global vaccine sharing scheme Covax, which aims to distribute vaccines to poorer countries.
The Global Alliance for Vaccines and Immunization (Gavi) said it would make 110 million doses of the vaccines available as part of the scheme.
Covax has agreements with the manufacturers of 11 vaccines and plans to provide 2 billion doses across the world by early 2022.
Both Sinopharm and Sinovac, which have been approved by the World Health Organization (WHO) for emergency use, are already being used in China and dozens of countries around the world.
ADVERTISEMENT

But what do we know about China's vaccines and how do they compare to those being developed elsewhere?

media captionHow will the new Pfizer vaccine work?

How does the Sinovac vaccine work?​

The Beijing-based biopharmaceutical company Sinovac is behind the CoronaVac, an inactivated vaccine.

It works by using killed viral particles to expose the body's immune system to the virus without risking a serious disease response.
By comparison the Moderna and Pfizer vaccines are mRNA vaccines. This means part of the coronavirus' genetic code is injected into the body, triggering the body to begin making viral proteins, but not the whole virus, which is enough to train the immune system to attack.
"CoronaVac is a more traditional method [of vaccine] that is successfully used in many well known vaccines like rabies," Associate Prof Luo Dahai of the Nanyang Technological University told the BBC.
On paper, one of Sinovac's main advantages is that it can be stored in a standard refrigerator at 2-8 degrees Celsius, like the Oxford vaccine, which is made from a genetically engineered virus that causes the common cold in chimpanzees.
In contrast Moderna's vaccine needs to be stored at -20C and Pfizer's vaccine at -70C.
It means that both Sinovac and the Oxford-AstraZeneca vaccine are a lot more useful to developing countries which may not have the facilities to store large amounts of vaccine at such low temperatures.
 
Mkuu anaetakiwa kutoa utafiti ni pande zote mbili tusinakili tu hiyo misemo ya kiingereza .

Yaani Gwajiboy aka Chameleon kwanza atoe CV yake ili wanasayansi wengine na wasomi wenye kufuatilia wajue ana utalaam gani ktk mambo hayo anayoongelea na kutolea mada, utafiti wake na data zake za utafiti aliofanya yeye kama yeye aweke mezani halafu ndio apinge kwa vigezo hivyo. Na kuwa muwazi kama kuna data au taarifa amepiga chabo sehemu nyingine.

Mpaka sasa huyu Bishop mzinzi ana anabwabwaja tu akinukuu data ambazo sio zake na haweki wazi chanzo cha taarifa zake.
Halafu ajabu anatokea mtu kama wewe unasema ajibiwe kisayansi na kunukuu misemo ya lugha ya malkia elizabeti.

Kwanza ana chofanya kuongelea kinyume na viongozi wake ni

INSUBORDINATION

Alitakiwa ajiuzulu haraka sana, kwa kwenda kinyume na mamlaka anayoitumikia na kumlipa mshahara.

Hiyo haijalishi jambo husika ni la kipuuzi au vipi kitu cha kwanza unajiuzulu, hiyo ndio sheria isemavyo.

Hili insubordination Paschal Mayalla ameilezea vizuri sana kuwaelimisha watu kama nyie nimeshindwa kupata bandiko lake tuliunge hapa.

Katika nchi yetu viongozi waliotofautiana na mamlaka ni pamoja na Zuberi Mtemvu, Oscar Kambona na Edwin Mtei aliyekuwa gavana wa Benki Kuu.

Mtei alimwambia J.K. Nyerere amekosea uamuzi wake kuhusu IMF( nadhani naomba kusahihishwa hapo).

Nyerere alipogoma kubadili uamuzi Mtei alijiuzulu. Ni Gavana ana heshimika sana mpaka leo.

Huyu Bishop anapinga wakati posho na mishahara anapiga kama kawaida. Kama yeye ana hela ndefu anatumikia wananchi angekubali basi ubunge halafu mshahara na posho angekataa. Hiyo kusema nitaacha ubunge wakati ana weka signature kwenye posho ni upumbafu wa kupitiliza wa kuwadanganya watu wasio makini na inamfanya anaonekana ni kenge tu macho ku mchuzi. Halafu eti ajibiwe kisayansi kwa utafiti gani aliofanya yeye.
 
Mimi nimewasikiliza wenye TAALUMA. wenye TAARUMA siwasikilizi ni Vilaza.😁😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…