Tumjue Priyanka Chopra-Mwanadada Mhindi

Tumjue Priyanka Chopra-Mwanadada Mhindi

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Wadau mambo niaje?

Nilikuwa nahitaji kumjua huyu mwanadada Priyanka Chopra maisha yake halisi(The historical background) mpaka kukutana na wasanii wa Tanzania*(@Diamondplatnumz) kwenye kategori moja.
 
Wadau mambo niaje?
nilikuwa nahitaji kumjua Huyu mwanadada Priyanka Chopra maisha yake halisi(The historical background).Mpaka kukutana na wasanii wa Tanzania*(@diamondplatnumz).Kwenye kategori moja.

Kama wewe mpz wa kuangalia series mcheki kwenye QUANTICO yeye anacheza kama Main character..Asili yake ni muhindi...
kwa information zaidi mcheki Google.
 
ingia wikipedia wamemuelezea vizuri sana... Ni boonge moja la actress na ndio kilichompa hilo jina kubwa alilonalo sasa kuliko mziki, mziki hasumbui kiivo hata mtv ema ilikuwa mara yake ya kwanza kuwa nominated, japo kuna kazi yake aliyomshirikisha pitbull ilisumbua sana iliingia hadi top 100 chart ya billboard (electronic/dance chart) 2013 hivii
 
Age 32

Singer & actress

Miss word 2000

Mdada mrembo and very talented

ImageUploadedByJamiiForums1446006204.525500.jpg
 
Kama wewe mpz wa kuangalia series mcheki kwenye QUANTICO yeye anacheza kama Main character..Asili yake ni muhindi...
kwa information zaidi mcheki Google.
My favorite series kwa 2015-- hata rating yake ni mzuri manake Wamarekani bhana; unaweza kukuta series wamei-rate 99% lakini ukiingalia unaweza usimalize hata episode moja-- different tastes!!
 
  • Thanks
Reactions: 911
thenx wadau,much much sana respectful kwa kunijulisha,God atawapa long maisha.
 
Awe macho na diamond hachelewi kumdandia, maana anapenda watoto wazuri kama huyo
 
Hahahahah pole usikute nae anamzimikia salman khan
mh! afu farkhina inaonekana unawafuatilia sana hawa jamaa! Unajua mm enzi zilee wakati Indian movies ziko so hot TZ-- kila Jpili CTN wanazionesha mie nilikuwa mvivu sana wa kuangalia movie hasa za Kihindi manake nilikuwa naziona ndefu kishenzi!! Ma-star wengi wa Kihindi nimewajua juzi tu hapa... yaani hata Amitabh Bachchan nimemjua wakati keshazeeka tayari!! You know how? I am kinda crazy with US Series tena kuliko movie! So, cku moja accidentally nime-tune channel fulani nikakuta Indian series-- inaelekea sikuwa na option; nikajilazimisha kuangalia-- hee! Hiyo siku ndo nikaja kugundua kumbe nilikuwa nakosa uhondo sana kwa hawa jamaa-- tangu hapo, nishaanza kuwa addicted na Indian series!
 
Enheee hawa jamaa wakali nakumbuka zenji kila jumapili saa nane mchana walikua wakiweka movie za kihindi chanali ya tvz ambayo sasa wanaiita zbc

Action movie zao ndio balaa
 
Enheee hawa jamaa wakali nakumbuka zenji kila jumapili saa nane mchana walikua wakiweka movie za kihindi chanali ya tvz ambayo sasa wanaiita zbc

Action movie zao ndio balaa
Yah, sure! nimecheki kama movie mbili tatu hivi cku za karibuni ambazo ni action movie... jamaa wapo njema; sana tu!
 
mcheki movie hizi za kiindi nmezikubali ni hadithi za mapenzi (love story)nmezielewa kuna
1.bordguard.
2.force.
3.love story.
katazameni hizi movie ni balaa ni fulu mahabat.
 
Huyu ni msanii ajae jua kuigiza Kama love story kuna movie inaitwa (anjana anjani 2010) hiyo love story na hauzuni nzuri na kuna (fashion 2008)
 
Back
Top Bottom