Carbondioxide
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 733
- 195
Wadau mambo niaje?
nilikuwa nahitaji kumjua Huyu mwanadada Priyanka Chopra maisha yake halisi(The historical background).Mpaka kukutana na wasanii wa Tanzania*(@diamondplatnumz).Kwenye kategori moja.
My favorite series kwa 2015-- hata rating yake ni mzuri manake Wamarekani bhana; unaweza kukuta series wamei-rate 99% lakini ukiingalia unaweza usimalize hata episode moja-- different tastes!!Kama wewe mpz wa kuangalia series mcheki kwenye QUANTICO yeye anacheza kama Main character..Asili yake ni muhindi...
kwa information zaidi mcheki Google.
Mi lips zake daaah mtoto mtamu yule .
Poa kuna akina deepika padukone,kareena kapoor,Katrina kaif
Former miss world & among hindi leading actress. Anaimba pia ila sio kivile
mh! afu farkhina inaonekana unawafuatilia sana hawa jamaa! Unajua mm enzi zilee wakati Indian movies ziko so hot TZ-- kila Jpili CTN wanazionesha mie nilikuwa mvivu sana wa kuangalia movie hasa za Kihindi manake nilikuwa naziona ndefu kishenzi!! Ma-star wengi wa Kihindi nimewajua juzi tu hapa... yaani hata Amitabh Bachchan nimemjua wakati keshazeeka tayari!! You know how? I am kinda crazy with US Series tena kuliko movie! So, cku moja accidentally nime-tune channel fulani nikakuta Indian series-- inaelekea sikuwa na option; nikajilazimisha kuangalia-- hee! Hiyo siku ndo nikaja kugundua kumbe nilikuwa nakosa uhondo sana kwa hawa jamaa-- tangu hapo, nishaanza kuwa addicted na Indian series!Hahahahah pole usikute nae anamzimikia salman khan
mh! afu farkhina inaonekana unawafuatilia sana hawa jamaa! Unajua mm enzi zilee wakati Indian movies ziko so hot TZ-- kila Jpili CTN wanazionesha mie nilikuwa mvivu sana wa kuangalia movie hasa za Kihindi manake nilikuwa naziona ndefu kishenzi!! Ma-star wengi wa Kihindi nimewajua juzi tu hapa... yaani hata Amitabh Bachchan nimemjua wakati keshazeeka tayari!! You know how? I am kinda crazy with US Series tena kuliko movie! So, cku moja accidentally nime-tune channel fulani nikakuta Indian series-- inaelekea sikuwa na option; nikajilazimisha kuangalia-- hee! Hiyo siku ndo nikaja kugundua kumbe nilikuwa nakosa uhondo sana kwa hawa jamaa-- tangu hapo, nishaanza kuwa addicted na Indian series!
Yah, sure! nimecheki kama movie mbili tatu hivi cku za karibuni ambazo ni action movie... jamaa wapo njema; sana tu!Enheee hawa jamaa wakali nakumbuka zenji kila jumapili saa nane mchana walikua wakiweka movie za kihindi chanali ya tvz ambayo sasa wanaiita zbc
Action movie zao ndio balaa