Shikamoo.Yupo kwenye American tv show Quantico
Shikamoo.
Yupo kwenye American tv show Quantico
malizia na sauti lake zito ka dume kwa sababu ya kula misigara
hii Quantico inanifurahisha walivyoingiza na kiswahili ndani na hasa yule dada wa misri na mlebanoniWamekuja huko kwenu kurekodi Quantico.
Hujambo bibie
hii Quantico inanifurahisha walivyoingiza na kiswahili ndani na hasa yule dada wa misri na mlebanoni
malizia na sauti lake zito ka dume kwa sababu ya kula misigara