Uchaguzi 2020 Tumkatae Magufuli, tumkubali Lissu

Lisu atapigiwa kura na wahuni wenzie!

Sisi watanzania hatiwezi kumchagua mtu atuongozee nchi kwa matakwa ya beberu wake Amsterdam.
Wewe ni haki usimpigie lisu kura coz hata kuandika kwenyewe hujui nyie CCM hamna akili kabisa
 
Tunampigia kura Mgombea wa CCM anayetokana na Taasisi imara yenye kuheshimika Afrika na Dunia nzima,

Hatumpigii kura Mgombea wa Saccos inayotafuta fedha kukuza mtaji wake.
Mtashangaa na roho zenu! Hatuna muda wa kuendelea na Muhutu!
 
Jiwe mitano ishamtosha..akapumzike chatoh kwa amani....na kama atazidi kungangania ataumbuka vby.
 
Huyo mzee arudi kwao ila atapike 1.5T kabla ya kusepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…