Leo U.S.A ni siku ya Martin Luther King Jr, kwa heshima yake hapa mimi namkumbuka kwa kutafakari quote yake moja maarufu nayo ni:
“We must live together as brothers or perish together as fools.”
Hapa alikuwa anamaanisha kuwa ni lazima tuishi pamoja kwa upendo na kama tunashindwa basi tutaangamia.
Nini kitatuangamiza?
Yaweza kuwa chuki, ubinafsi, wivu, tamaa ya madaraka, tamaa ya mali/utajiri nk.
Weka hapa quote moja au zaidi ya Martin Luther King Jr.