Leo U.S.A ni siku ya Martin Luther King Jr, kwa heshima yake hapa mimi namkumbuka kwa kutafakari quote yake moja maarufu nayo ni:
“We must live together as brothers or perish together as fools.”
Hapa alikuwa anamaanisha kuwa ni lazima tuishi pamoja kwa upendo na kama tunashindwa basi tutaangamia.
Nini kitatuangamiza?
Yaweza kuwa chuki, ubinafsi, wivu, tamaa ya madaraka, tamaa ya mali/utajiri nk.
Weka hapa quote moja au zaidi ya Martin Luther King Jr.
Yaani huyu kama ni Ticha basis mwanafunzi hapo anakuwa chenga kama tichaTafsiri yako si sahihi. Ulipaswa uombe tukutafsirie. Mimi nina htuba zake zote na quotes zake zake zooooote.
Hapo anasema " tunapaswa/ni lazima tuish pamoja kama ndugu ama sivyo tuangamie pamoja kama wapumbavu"
Sasa unafikiri ni kitu gani kinachoweza kuunganisha watu wa races tofauti na wakaishi kama ndugu?Tafsiri yako si sahihi. Ulipaswa uombe tukutafsirie. Mimi nina htuba zake zote na quotes zake zake zooooote.
Hapo anasema " tunapaswa/ni lazima tuish pamoja kama ndugu ama sivyo tuangamie pamoja kama wapumbavu"
Yaani huyu kama ni Ticha basis mwanafunzi hapo anakuwa chenga kama ticha
Mnakosea sana sababu hamtaki kufumbua fumbo lililo kwenye quote.Yaani huyu kama ni Ticha basis mwanafunzi hapo anakuwa chenga kama ticha
Nimependa hiyo ya black lives.