ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Akubali tu kama walivyokubali wengine kipindi cha kitabu ambacho yeye alikuwa anasoma na wengine walikosa kukisoma wakakaa pembeni sasa kitabu iki nayeye aangalie tu juu kwenye cover ndio ilivyo.kipindi yeye anasoma na kukielezea kitabu kilichopita kuna watu walikuwa pia wanatamani nawao wakisome lakini nafasi walikosa sasa apumzike tu pia tumkumhushe
Kila zama na kitabu chake
Kila zama na kitabu chake