NEW NOEL
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 863
- 408
Leo nilikuwa naangalia Television station ya Trace nikaona Video ya wimbo wake wa 'speak with your body ' hakika nimefurahi kuona jitihada zake. Ni kijana mwenzetu ambaye kwa muda mrefu amekuwa anaonekana kuhangahika kutafuta mafanikio kwa nguvu.
Na ndio maana nadhani hata kipindi fulani msanii wa USA aliulizwa msanii wa Afrika anayempenda na alisema ni AY.
Na ndio maana nadhani hata kipindi fulani msanii wa USA aliulizwa msanii wa Afrika anayempenda na alisema ni AY.