Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Asalaam
Jamani wapendwa,leo asubuhi nimepigiwa simu aunt yangu kajifungua hivo tunaombeeni mtusaidie kuchagua jina kati ya haya yaliyopendekezwa..Christian,Stanslaus,Chrispin,Allan,Heradius,Anselimo na Herman.
Litalotajwa na wengi ndilo tutampatia kijana wetu.