Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
mkulu anapita uku na id fake andaa mil8Duh!!!kama akipewa hilo jina huyo mtoto atakuwa kichwa ngumu na mropokaji.
-Ndumilakuwili-
Ohooooo!!!ngoja nifute kabisa hiyo replay bando la chuo lisije ni ponza.mkulu anapita uku na id fake andaa mil8
Jina ni utambulisho, jina ni historia ya aidha wazazi au mtoto mwenyewe, jina ni kumbukumbu ya muda mrefu sana. Hivyo, katika majina yote uliyoyataja, hakuna hata moja linalosadifu maana ya jina.Asalaam
Jamani wapendwa,leo asubuhi nimepigiwa simu aunt yangu kajifungua hivo tunaombeeni mtusaidie kuchagua jina kati ya haya yaliyopendekezwa..Christian,Stanslaus,Chrispin,Allan,Heradius,Anselimo na Herman.
Litalotajwa na wengi ndilo tutampatia kijana wetu.
Mbona wewe jina lako Ndumilakuwili lina maana? Je jina ALLAN lina maana gani?-Allan-
-Ndumilakuwili-