Magufuli.
wewe ni muitaliano ??
hupendi watoto kumbeMagufuli.
Mpe jina MHENGAAsalaam
Jamani wapendwa,leo asubuhi nimepigiwa simu aunt yangu kajifungua hivo tunaombeeni mtusaidie kuchagua jina kati ya haya yaliyopendekezwa..Christian,Stanslaus,Chrispin,Allan,Heradius,Anselimo na Herman.
Litalotajwa na wengi ndilo tutampatia kijana wetu.