Tumpe jina gani binamu yangu kati ya haya

Kwa hayo majina, basi wazazi wake wote watakuwa wazawa wa bara la ulaya hasa UK mtaa wa Yorkshire
 
Tungekuwa kabila moja ninge kuchagulia haya.
1.Nsajigwa-maana Mbarikiwa
2.Lughano-upendo
3.Gwakisa-mwenye huruma
4.Gwamaka-mwenye nguvu



Sent from my SHV-E250S using JamiiForums mobile app
 
miss natafuta

Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
 
Kwanini umependa jina hili?
Nimetokea kulipenda tu
Siku Mungu akinijalia kupata ka baby boy nitamuita jin hill
Alafu Mara nyingi naona wenye majina hayo ni watanashat, ma HB[emoji12]

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 


Why majina ya kizungu, hamna majina ya Kiswahili? Muite Fariji, Mtemi, Mtume
 
paprika njoo uchague jina

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…