Tumpe jina gani binamu yangu kati ya haya

Unajua mara ya mwisho kunipa unyumba ni lini?
Naona unazurura tu mitaani hapa.
Tumpe kama lile la mtoto wa mwenza, Kinje
leo mpaka wiki iishe nitakua kwako
ila usiwe unayasema hadharani mpenzi
 
basi hayo majina ni ya kiitaliano
Naelewa Sana Mzee. Gian Ni Italian Version Of John Ambayo Kwa Kiispaniola Ni Juan Na Kifaransa Ni Jean. Ukiangalia Jina Langu Utaelewa Nnachokuambia. [emoji111] [emoji111] [emoji111]

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Christian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…