Tumpigie kura mtanzania mwenzetu Nandy

Toa maelezo ya ziada tafadhali, hayo mashindano si wote tunayafahamu na namna ya kupiga hizo kura
 
mashalaaa toto zuri huyo anashindania nn..?
 
Toa maelezo ya ziada tafadhali, hayo mashindano si wote tunayafahamu na namna ya kupiga hizo kura
Hili ni shindano la kuimba ambalo linashirikisha vijana wenye vipaji vya kuimba ni kama ilivyo BONGO STAR SEARCH ila hii kunakua na screen ambazo zinakua zina display lyrics za nyimbo unayokua unaiimba yaa kiufupi tunaaitaga
 
siku hizi kuna mashindano ya kila namna, mabinti washindwe wenyewe kuuza sura.
 
Hili ni shindano la kuimba ambalo linashirikisha vijana wenye vipaji vya kuimba ni kama ilivyo BONGO STAR SEARCH ila hii kunakua na screen ambazo zinakua zina display lyrics za nyimbo unayokua unaiimba yaa kiufupi tunaaitaga
Okay nimekuelewa bidada
 
Tunawapigia kura kwa Bundle zetu,Tunakatwa fedha kwenye SMS wakishinda sisi washabiki wanatuona M@¥|.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…