Tumpongeze Yuda, bila yeye Yesu asingekwenda mbinguni Wala tusingefahamu pasaka

Tumpongeze Yuda, bila yeye Yesu asingekwenda mbinguni Wala tusingefahamu pasaka

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Shukrani za dhati kwa Mwenyekiti cha wasiliti bwana Yuda kutuletea pasaka.

Na kuanzisha mtindo wa usaliti.leo tuna mayuda wengi duniani kila Kona.

Tumebakisha siku chache tumkumbuke Yuda maana tumemsahau
 
Back
Top Bottom