Salamu kwenu wakuu.
Jambo hili nimeona hapa ni mahali sahihi pa kupata solution ya kumaliza vizuri jambo la huyu dada.
Ipo hivi, leo kuna workmate mwenzangu na my best friend anafanyiwa send off huko kwao na huyu workmate mwenzangu ana rafiki aitwaye Clara wameshibana sana na huyu Clara ni meneja hoteli X, automatically Clara naye tukawa marafiki wa karibu sana, sasa muoaji naye ni mfanyakazi mwenzetu ila yupo kituo kingine na mimi ni Katibu wa kamati ya maandilizi ya sherehe itakayofanyika mwishoni mwa wiki hii. Na hata honeymoon watakuwa katika hotel hiyo anayofanyia Clara.
Sasa, jana Clara ameniomba ushauri kwa jambo analokumbana nalo kuwa tangu kwa mara ya kwanza waonane siku 4 zilizopita jamaa ameanza kumsumbua kwa speed ya 5G kweli kweli na kibaya zaidi hasikii lolote, sasa jambo hili limemkera sana Clara mpaka anafikiria kutoshiriki harusi kwani hapendi kabisi kumuona huyo bwana hata kwa sura na anawaza asiposhiriki harusi rafiki yake atamuelewa vibaya na kumwambia saizi hawezi na kama atavumilia anawaza huko mbeleni rafiki yake akaja gundua kuwa Clara alikuwa anachati na mume wake basi yeye ndiye tena ataanza kueleweka vibaya.
Hivyo kuamua kunishirikisha kama mtu wa karibu zaidi kwa kila upande ili nimsaidie solution nami nimemuomba muda ili nifikirie kwanza.
Karibuni wahenga kwa michango yenu.