Hi jf
ndugu yangu mpnz wake ni mjamzito, leo ameenda clinic wamemchukua HIV test akambiwa hana maambukizi na pia VDRL (test for syphilis) akakuta, Kwenye card ya clinic kandikiwa PMTCT 2, VDRL ameandkiwa NR(Non Reactive maana ake hana syphilis) , rh factor postive na blood group O, kumbe jamaa amepata ushauri wa mtaani kwamba akiona PMTCT 2 huyo ameathirika
Mpenz wake amemwambia kwa mdomo kwamba hajathrika
Lakin jamaa yuko confused anadi kujiua, mwenye kujua hizi indicators naomba ufafanuz tumsaidie huyo