Tumsaidie huyu mama

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni mwenzenu
 
Mwambie hospitali zipo kwa ajili ya watu kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…