shamali
Senior Member
- Jul 6, 2013
- 186
- 56
Habari za muda huu ndugu zangu?!
Kuna dogo mmoja alifanya pepa ya form four akapata 0. Karudia tena bado hali ni ile ile. Amewaza sana asome nini kitakachomsaidia kwenye maisha yake hapati jibu, nami nimewashirikisha ninyi ndugu zangu tumsaidie mawazo. Aende veta au wapi au asome course gani jaman? Ni binti