Habari za muda huu ndugu zangu?!
Kuna dogo mmoja alifanya pepa ya form four akapata 0. Karudia tena bado hali ni ile ile. Amewaza sana asome nini kitakachomsaidia kwenye maisha yake hapati jibu, nami nimewashirikisha ninyi ndugu zangu tumsaidie mawazo. Aende veta au wapi au asome course gani jaman? Ni binti
mwambie anitafute kwa namba 0768260834
sio lazima wote tusome wengine wanatakiwa wawe mabeki tatu wetuHabari za muda huu ndugu zangu?!
Kuna dogo mmoja alifanya pepa ya form four akapata 0. Karudia tena bado hali ni ile ile. Amewaza sana asome nini kitakachomsaidia kwenye maisha yake hapati jibu, nami nimewashirikisha ninyi ndugu zangu tumsaidie mawazo. Aende veta au wapi au asome course gani jaman? Ni binti
sio lazima wote tusome wengine wanatakiwa wawe mabeki tatu wetu
mbona unauliza swali la kiku. hivyo? sasa kama ni dada yangu nitafurahi vipi sasa.. kuna mtu anaependa ndugu yake apate mabaya?Daaah,vp ka ni dadako utafurahi eeeh?!
aende veta tu.