Kamsweetie
Member
- Oct 30, 2012
- 37
- 23
Best wangu ametengana na mumewe wa ndoa (ya miaka 7 na ushee) huu ni mwaka wa pili sasa, walibarikiwa mtoto mmoja ambaye ni above 7 lakini under 18. Kwa sasa mtoto yupo kwa baba yake na hakuna kinachoendelea kati ya wazazi hawa wawili. Baba mtoto kampiga marufuku mama mtoto kuingia nyumbani kwake hivyo mtoto anafanya kumuitia getini (jamaa haishi na mwanamke zaidi ya dada wa kulea mtoto na wadogo zake). Naomba tumsaidie aanzie wapi sheria imsaidie kuhusu access ya mtoto na way forward ya ndoa yao. Masikini dada wa watu haishi kulia kila siku anazidi kukonda mpaka anatia huruma, ukimuuliza atakwambia Mungu yupo. (hii imeniuma bse najua uchungu wa mtoto ulivyo kulelewa na single parent)