Tumsaidie prof J kutokomeza ugonjwa wa figo

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,929
Reaction score
8,327
Toa taarifa viwanda bubu mtaani kwako vinavyotengeneza pombe feki. Usikae kimya maana inaweza kumkuta yeyote, hata wewe haupo salama.
IMG-20231230-WA0103.jpg
IMG-20231230-WA0097.jpg
IMG-20231230-WA0096.jpg
 
Ndio maana mimi sinywi hizi pombe za elf mbili mbili.. mara 10 ninywe juice ya Ceres..

Tafuteni hela ndugu zangu.. ukichunguza hapo hakuna Imported alcohol waliyotemper nayo zaidi ya hizi local brands only..

Beer = Heineken
Spirit = Absolut VODKA
 
Onyo lianze kwa wenyewe hao waliokamata maana ni miongoni mwa wanywaji wapenda dezo
 
Ndio maana mimi sinywi hizi pombe za elf mbili mbili.. mara 10 ninywe juice ya Ceres..

Tafuteni hela ndugu zangu.. ukichunguza hapo hakuna Imported alcohol waliyotemper nayo zaidi ya hizi local brands only..

Beer = Heineken
Spirit = Absolut VODKA
Morogoro ina mambo sana ilishakuwa na mishakaki ya 100 kumbe ni kutoka Iringa
majuzi tumesikia nyama ya ngedere kutoka milima ya uluguru huko
Leo pombe ya kutengenezea kwenye mabeseni
There is more to come
 
Na pale Msamvu wanakaanga chips ukizichek viazi ni vya njano kinoma.. nawaswas sana
 
Ndio maana mimi sinywi hizi pombe za elf mbili mbili.. mara 10 ninywe juice ya Ceres..

Tafuteni hela ndugu zangu.. ukichunguza hapo hakuna Imported alcohol waliyotemper nayo zaidi ya hizi local brands only..

Beer = Heineken
Spirit = Absolut VODKA
Nakazia
 
Back
Top Bottom