Mama alishasema:
Samia = JPM
Kama hivyo si tungaliishia hapa?
Nani hakujua JPM alitaka nini?
Mbona leo:
1. Sabaya yuko kidogo
2. Uamsho wako huru
3. Mdude yuko nje
4. Shughuli za kisiasa so far hazibughudhiwi?
5. Nk
Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya
Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...www.jamiiforums.com
Tulitaka mama asemeje?
Majibu yetu kwake yanapaswa kuwa wazi. Yaliyokinyume cha katiba hatukubali.
Haipo vita isiyokuwa na casualties.
Usimpangie Mungu Cha kufanya, hacha yeye afanye then Mungu afanye,japo kajitahidi
🤣🤣Kuongea ni RAHISI Sana.....Mandela anasema "no easy walk to freedom." Anayetegemea na easy ride hapa yuko in a very wrong place.
Kinachoongea ni KITI CHA URAIS....si jinsia ya RAIS....
Mama ni muangalifu mno....ana staha mno......
Ila UAMIRI JESHI WAKE kwa mustakabali wa taifa uko palepale.....
Endeleeni tu kuleta ULIBERALI kwa taifa lililo chini ya WAHAFIDHINA WA CCM.....
#KaziIendelee
Hutishwi mkuu....Uchokozi ni relative. Wala tusitishane.
Sisi tutamsaidia kuiongoza nchi kwa mujibu wa katiba.
Tatizo liko wapi?
Ameteleza wapi ?!!!..nakubaliana na wewe kuwa mama ni muangalifu.
..lakini kwa kauli alizotoa leo ameteleza.
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii.
Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba.
Pamoja na yote anayosema na nia yake njema ya kufanana na JPM, mama ameonyesha kwa vitendo kuwa si katika dhuluma wala katika kuvunja katiba au sheria.
Mwenye macho haambiwi tazama:
View attachment 1833936
1. Leo uamsho wako huru
2. Mdude yuko huru
3. Kesi bambikizi 147 Takukuru zimefutwa
4. Watu hawapotei tena
5. Watu wasiojulikana hawapo tena
6. Nk
Hayati Magufuli alihitaji kupewa muda kuinyorosha nchi. Mama anaomba muda kusimamisha uchumi.
Lakini kwani katiba ya nchi inasemaje? Katiba ya nchi itatamalaki. Na hili si hisani.
Panga pangua katiba ni lazima kutamamalaki. Na hili ndilo eneo tunalopaswa kumsaidia sana mama katika ujenzi wa nchi hii.
Tusichoke kumsaidia mama katika kuijenga nchi hii kwa kuzingatia matakwa kamili ya katiba iliyopo, tunapojiandaa kwa mwendelezo wa kudai katiba mpya iliyoboreshwa.
Yaliyotutokea kipindi kile hayapaswi kurejelewa.
Ninawasilisha.
..hilo neno " vita " limenikwaza.
..tulipata uhuru toka kwa Muingereza kwa njia ya majadiliano.
..lakini chaguzi zetu zimekuwa na umwagaji damu kuliko harakati za kupata uhuru.
..wapinzani kumsihi Mama Samia aruhusu mikutano, jambo ambalo limeruhusiwa kikatiba, ni kumpa heshima kubwa sana. Mama anatakiwa arudishe uungwana ambao vyama vya upinzani vimemuonyesha.
Hutishwi mkuu....
Unaambiwa tu ukweli....
#KaziIendelee
Kwa hiyo UAMSHO wamefanikiwa?!!!Mkuu kiswahili kina limitations zake na hasa unapoandika na usingizi ukikunyemelea.
Neno vita nimekuwa nikijitahidi sana kuliepuka hata hivyo lipo hapa ki nahau zaidi. Kukitumika nyani hapa si yule wa porini.
Itambulike mchakato wa katiba mpya hautaridhiwa kwa kuombwa mezani. Ukweli utakapotambuliwa na mamlaka tutapata katiba mpya na si vinginevyo:
Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya
Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...www.jamiiforums.com
Tambua siri ya mafanikio ya jamaa wa uamsho:
View attachment 1834081
🤣🤣Kuongea ni RAHISI Sana.....
Wamisri waliyatafuta hayo na kumuondoa HOSNI MUBARRAK ili wawe na huo "Uhuru".....
Kilichotokea ni HISTORIA....
Wako chini ya FIELD MARSHAL EL SISI.....🤣🤣🤣
Kwa hiyo UAMSHO wamefanikiwa?!!!
Kupeleka CHAKULA gerezani kwa miaka hiyo 8 ni mafanikio ?!!!
Hivi umemsikiliza vyema sheikh ul muadhama Ashaikhul Kiraam Mselem bin Alii akisema kuwa "INATOSHA WAKO HURU....MAMLAKA ZIKIWAAMBIA ACHENI KUFANYA HAYA WATAACHA....HUWEZI KUSHINDANA NA WENYE NGUVU..."
Maneno mazito mno hayo.....
AKILI KUMKICHWA.....
Mie Brown niendelee tu kuutafuta "ubwabwa" nitunze vitoto vyangu vidogo ..
#KaziIendelee
Sawa Komredi brazaj....Kama ambavyo sitishi bali nasema ukweli pia.
Acha ujinga ww! Ni daktari yupi huyo anayetaka kuchomwa maujinga hayo!? Aliyekudanganya yanakinga ni nani!?Kwani COVID 19 haipo ?!!
Kwani hakuna wanaopumulia mashine?!!!
Hivi umeshawahi kuwafikiria vyema MADAKTARI NA MANESI wetu wanaotoa huduma kwa hao wagonjwa wa COVID-19?!!!
Yaani hata hawa wataalam wetu wasichomwe hizo CHANJO ili waendelee kutupatia huduma?!!!
Hivi hao wataalam wetu wakitoka humo mawodini kwa wagonjwa wa UVIKO huwa hatukai nao BAA NA VIJIWE VYA KAHAWA?!!!
Hivi hao wataalam huwa hawarudi majumbani mwao kujiunga na wanafamilia wao ?!!!
FIKIRIENI NJE YA BOX....
#KaziIendelee
Sawa.....Misri ni Misri na Tanzania ni Tanzania.
Tunajua kuwa wanufaika nyie mtafanya kila propaganda uchwara kama hizi kufarakanisha watu.
Kulikuwa na uzi hapa utakuwa unakuhusu mkuu:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Kutofautiana kimawazo katika nchi ni jambo la afya. Haiwezekani sote tukawa na mtizamo mmoja. Hata watoto mapacha hutokea wakati wakatofautiana. Kwa bahati mbaya kuna zama zimepita kwa kutofautiana tu pana watu wamekufa, wamepotezwa, wamejeruhiwa, wamedhulumiwa, na mengi ya namna hiyo...www.jamiiforums.com
Hudhani kuwa tunastahili katiba muafaka kama Yanga tu Kikwette kawashauri wapate katiba muafaka?
Hiyo ya chanjo I see inakata stim kabisa!
😲😲🤣🤣Acha ujinga ww! Ni daktari yupi huyo anayetaka kuchomwa maujinga hayo!? Aliyekudanganya yanakinga ni nani!?
Tutachanjwa wote mkuu.....Chanjo ni hiari. Sielewi kwa nini kitu cha hiari jiwe issue kwa yeyote.
Binafsi nitachanjwa on day 1.
Mkuu hiyo ingekuwa haina agenda nyingine na inakinga kweli hata mie ningeifuata nje! Hii ya sasa si kitu kihivyo! Na inamadhara sana!😲😲🤣🤣
Baadhi ya watanzania waliifuata nje ya nchi hiyo CHANJO....sembuse MADOKTA wetu ambao wanaletewa hawa nyumbani ?!!!!
Mkuu KINGA NI BORA KULIKO TIBA.....
#KaziIendelee
Tutachanjwa wote mkuu.....
Mimi nitapiga picha niipost humuhumu ndani pale BEGA langu litakapopokea hiyo SINDANO....
#ChanjoYaUvikoNiHiyari