Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Mkuu hayo madhara umeyafanyia tafiti kwa HAO WALIOCHANJWA?!!!Mkuu hiyo ingekuwa haina agenda nyingine na inakinga kweli hata mie ningeifuata nje! Hii ya sasa si kitu kihivyo! Na inamadhara sana!
Kwani ww unao ushahidi wa kutosha tena kwa vizazi kadhaa kuwa hayo ma'chanjo' yao hayana madhara sasa na muda mrefu?Mkuu hayo madhara umeyafanyia tafiti kwa HAO WALIOCHANJWA?!!!
Research yako ina SAMPLE SIZE kiasi gani ?!!!
Ama unaongelea tu "conspiracy theories" kwa maneno ya "kusikia" na "kuambiwa " tu ?!!!!
To every action there is an equal and opposite reaction.....Kwani ww unao ushahidi wa kutosha tena kwa vizazi kadhaa kuwa hayo ma'chanjo' yao hayana madhara sasa na muda mrefu?
Tembelea websites zao na testimonies za waliochanjwa na kufa!
Haipaswi kuwa hivyo mkuu! Urgency is uncall for! Covid-19 siyo hatari zaidi ya malaria au ukimwi!To every action there is an equal and opposite reaction.....
Sasa Kama unaamini hao watoao chanjo ni WAONGO NA WAZUSHI....ni vipi itashindikana kwa waipingayo chanjo hiyo KUTENGENEZA FALSE ACCUSATIONS NA TESTIMONIES za uongo?!!!
Sawa mkuu kuchanja ni hiyari....ngojea mimi na wenzangu TUJITOLEE KUCHANJWA kama subjects za RESEARCH zenu.....
#ChanjoYaUvikoNiHiyari
#KaziIendelee
π€£π€£Haipaswi kuwa hivyo mkuu! Urgency is uncall for! Covid-19 siyo hatari zaidi ya malaria au ukimwi!
Kwani ww unapumua nini mkuu! Na icu zina kazi gani hospitalini...hakuna cha ajabu hapo! Ktk 100 covid-19+ve, unafikiri ni wangapi wanafikia icu! Tena tunazo traditional remedies zinazoweza kuzuia hata kwa hao wazifikie huko! Bora ku'promote'herbs zetu zenye uthibitisho wa ubora na usalama kuliko hizo sumu!π€£π€£
Si hatari na baadhi ya watanzania wanapumulia GESI YA OKSIJENI?!!
π€£π€£
π€£π€£Kwani ww unapumua nini mkuu! Na icu zina kazi gani hospitalini...hakuna cha ajabu hapo! Ktk 100 covid-19+ve, unafikiri ni wangapi wanafikia icu! Tena tunazo traditional remedies zinazoweza kuzuia hata kwa hao wazifikie huko! Bora ku'promote'herbs zetu zenye uthibitisho wa ubora na usalama kuliko hizo sumu!
Akiacha tu Kumuamini JK nitampenda!!!
Uko na mama Lisu unamwachia nani?Samia = Magufuli
1. Sabaya yuko kisongo
2. Polepole CCM ni nobody
3. Bashiru CCM ni nobody
4. Uamsho wako huru
5. Mdude yuko huru
6. Corona tunaongelea chanjo
7. Nk
True, Samia = JPM lakini si kwenye dhuluma yoyote au uvunjaji katiba.
Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Uko na mama Lisu unamwachia nani?
Utamsaidia kuijenga nchi na hali ndo mbomoaji?
kwa nini serikali yake aliwaweka watotot wa mjini yaani wapigaji?.
Rais wa kwenye mawe.
Mwenye upara masaa 24 utadhani kichwa ni tako.
Siku akiwachomoa hao kutoka serikali yake nitatoa ushauri nini cha kufanya kwa hao walobaki,na nahisi ndo sababu ya PM kupungusa kasi ya utendaji
Mkuu bado upo au umepotea naona husikiki tena? Umeshaliwa kichwa?Hiyo katiba msubiri mpaka uchumi wetu uwe kama marekani. Halafu bavicha mshaambiwa mapema hakuna mikutano ya hadhara, msije baadae kutaka kuleta ujinga wenu