Mama Samia ametoa mabilioni ya shilingi kujenga na kukarabati mashule kote nchini lakini watendaji wanamwangusha.
Kuna shule moja inaitwa SM Itilima Wilaya ya Kishapu Km 30 kutoka Shinyanga mjini ni aibu ukiiona na sijui mbunge au mkuu wa mkoa anijua majengo ya shule yamebomoka; nyumba za walimu zimebomoka; kuna maji ya ziwa Viktoria; umeme wa Rea amejenga SUMA JKT. Kuna machimbo ya almasi Ikonokelo je hii ni halali?
Tunamwangusha mama yetu.