Mama Samia ametoa mabilioni ya shilingi kujenga na kukarabati mashule kote nchini lakini watendaji wanamwangusha.
Kuna shule moja inaitwa SM Itilima Wilaya ya Kishapu Km 30 kutoka Shinyanga mjini ni aibu ukiiona na sijui mbunge au mkuu wa mkoa anijua majengo ya shule yamebomoka; nyumba za walimu zimebomoka; kuna maji ya ziwa Viktoria; umeme wa Rea amejenga SUMA JKT. Kuna machimbo ya almasi Ikonokelo je hii ni halali?
Ametoa mabilioni kutoka mfukoni mwake?alafu hakuna mashule bali kuna shule ,ni katika hali ya kusifia kupitiliza mnajikuta mnaanza kuongea kiswahili ambacho hakipo.
hivi serikali inafanya nini kujenga nchi mbona ipo kimya sana maana kila kona ni pesa za mama samia suluhu ndio zinajenga nchi pesa za serikali zinaenda wapi?
Mama Samia anatumia muda mwingi kusaidia wananchi waliomo vijijini km Serikali za mikoa na Wilaya hazifanyi kazi vunja hiyo shule ni nembo inayoonyesha Hali halisi pembezoni mwa Wilaya na mikoa. Hivi Tz shule hiyo itatoa mwanafunzi bora