Hili pambano la joshua halina tofauti kubwa na la mwakinyo joshua naye aligeuga kuwa mwanariadha ulingoni kama ilivyokuwa kwa mwakinyo badala ya kupigana ngumiJana kulikuwa na pambano mkali wa ngumi baina ya Anthony Joshua na Ruiz Jr. Yeyote aliyeshuhudia pambano hilo aliona jinsi Anthony Joshua alivyokuwa anakwepa staili ya kuegemea kamba. Kila Ruiz alipojaribu kumpeleka kwenye kamba alikuwa mara zote anakwepa. Hili liwe funzo kwa bondia Makwinyo kuwa staili ya kugemea kamba wakati wa pambano la ngumi ni staili isiyo na tija. Nakubaliana na ushauri wa Matumula kwa Mwakinyo kuwa ajihadhari wakati wa pambano asiwe mara nyingi anaegemea kamba hii inampa bondia mwenzake kupata nafasi ya kumpiga na hivyo kuendelea kuzoa pointi.
Makwinyo ndio nani?Jana kulikuwa na pambano mkali wa ngumi baina ya Anthony Joshua na Ruiz Jr. Yeyote aliyeshuhudia pambano hilo aliona jinsi Anthony Joshua alivyokuwa anakwepa staili ya kuegemea kamba.
Kila Ruiz alipojaribu kumpeleka kwenye kamba alikuwa mara zote anakwepa. Hili liwe funzo kwa bondia Makwinyo kuwa staili ya kugemea kamba wakati wa pambano la ngumi ni staili isiyo na tija.
Nakubaliana na ushauri wa Matumula kwa Mwakinyo kuwa ajihadhari wakati wa pambano asiwe mara nyingi anaegemea kamba hii inampa bondia mwenzake kupata nafasi ya kumpiga na hivyo kuendelea kuzoa pointi.
Huyu bro kapitia mambo mengi sana muacheni tu avimbe majipu ya kwapa...usikute enzi hizo alikuwa anampa shikamoo uyo bwa mdogo apoHuyo wa pili kutoka kushoto.View attachment 1285235
Pale chini waliandika anaitwa Selemani Said.Usiniulize zaidi tafadhaliHivi yule mtz aliyekula konde moja ni nani ?
MwakinyoHivi yule mtz aliyekula konde moja ni nani ?
Hahah pamoja na makando kando yale yote lkn ule msemo wa bembeleza kafiri upate mradi wako jamaa aliutumia effectively na umemtoa aisee.Huyu bro kapitia mambo mengi sana muacheni tu avimbe majipu ya kwapa...usikute enzi hizo alikuwa anampa shikamoo uyo bwa mdogo apo
Mwakinyo yuko vizuriMwakinyo wenu afanye kwanza mazoezi tena ya kutosha na kupata mapambano ya ndani kabla ya kukimbilia kwenye ,games’ kubwa la sivyo atakuja fia ulingoni