Tumshauri kijana mwenzetu Adam Mchomvu achague A au B au C

Mnamvimbisha kichwa Tu huyo Adam kusema ndo mtangazaji mzur bongo , hamna lolote pale , huyo ni dj na sio presenter ....ni lofa Tu anayeweza mchukua mchomvu kuwa host wa kpind , labda awe host wa shows au club Banger Dj
 
Ad ni Dj? Hili sikulijua mwanzo
 
Mkuu upo sahihi kwa 99%. Huyu jamaa ana utofauti sana na hao watangazaji wa kariba yake. Labda atakua na sababu zake za kubaki hapo mawinguni.

Mziki nadhani anafanya kufurahisha mashabiki zake.
 
Mnamvimbisha kichwa Tu huyo Adam kusema ndo mtangazaji mzur bongo , hamna lolote pale , huyo ni dj na sio presenter ....ni lofa Tu anayeweza mchukua mchomvu kuwa host wa kpind , labda awe host wa shows au club Banger Dj
Dj?[emoji848]
 
Mchovu hawez mupewa uongoz kipind kizima kitajaa wagumu kina songa,Nikki mbishi,mapacha,weusi kutakua kuna kipind tena hapo mkuu

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa yupo talented lakini bange nyingi..hawezi pewa kipindi aongoze yeye,kwanza atajipigia hiphop tupu
Ndo vizuri maana watangazaji wa aina yake wanaopenda hiphop ni adimu sana kiasi ambacho muziki wetu pendwa haupati airtime ya kutosha redioni.
 
Naiunga mkono hii hoja kwa 100%
 
Ukiwa nje ya mchezo ni rahisi kusema haya, ila ukishaingia mchezoni ndio utaujua ugumu wa mchezo,
Kumbuka PM ndio hupanga watangazaji na kumonitor maendeleo yao
Ukisema atoke hapo ataenda wapi, huwezi kwenda sehemu ambayo hawajakuhitaji au huna nafasi yako
You tube akaunti si kila mtu maarufu anaweza kuiendesha hata Diamond akaunti yake inaendeshwa na mtu mwingine kabisa,
Iko wapi Dozen selection au Dinamarios, ulishajiuliza ule utitiri wa blog za watu maarufu zimepotelea wapi, hadi Roma alikuwa na blog, mipango mipango mipango
 
Fety si aliikacha xxl? Kwanza nimemskia majuz kweny jahazi ,anaongea vbaya sana kama sio Fety yule wa xxl...yani anatoa rafudhi sijui yawapi...na anachoongea hata hakieleweki
Sikuwahi mujua fetty .
Ila fetty nilipomuona ndio anahost kipindi clouds tv imeanza nilifurahi kumuona kidogo katika mazungumzo na kuendelea kweli fetty simuelewi kabisaa wanasifugi bure wote bangi tu.
Hata siwaelewagi labda nilimpenda diva sana na kipindi chake cha allah za roho men ni nzuri sana .
Ila sura hana ndio ubovu na fetty kweli sura anayo ila too much masifa .
 
Mkuu enz fety yupo xxl zaman sana...alikua ana bamba sana,hadi fiesta alikua ana host..ila alivyotoka na kusema mama yake kamzuia kufanya hizi mambo za entertainment, basi hii comeback yake imekua mbaya sana
 
Sory mkuu hapo ndio yupi
 
Kuongeza mchovu ni brand meneger wa xxl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…