NEW NOEL
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 863
- 408
Kama umeweza kuiona siku ya leo ukiwa na afya njema kwa nini usiseme asante kwa Mungu wako?
Kuna watu ambao hawana uhakika wa kuendelea kuishi,yaani wamekata tamaa ya maisha. Lakini wewe unapojiona unao uzima na bado unaendelea kulalamika hakika hivyo si vyema.
Leo hii Tanzania hakuna vita vya wenyewe kwa wenyewe. Je umeshapata nafasi ya kusimuliwa kwa yale yanayotokea huKOSomalia?

TAFADHALI NDUGU TUSISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KWA UZIMA TULIO NAO SISI NA FAMILIA ZETU NA TAIFA LETU. PIA TUWAOMBEE WALE WALIO KATIKA SHIDA MBALIMBALI NA KUWASAIDIA.