Kama umeweza kuiona siku ya leo ukiwa na afya njema kwa nini usiseme asante kwa Mungu wako?
Kuna watu ambao hawana uhakika wa kuendelea kuishi,yaani wamekata tamaa ya maisha. Lakini wewe unapojiona unao uzima na bado unaendelea kulalamika hakika hivyo si vyema.
Leo hii Tanzania hakuna vita vya wenyewe kwa wenyewe. Je umeshapata nafasi ya kusimuliwa kwa yale yanayotokea huKOSomalia?
TAFADHALI NDUGU TUSISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KWA UZIMA TULIO NAO SISI NA FAMILIA ZETU NA TAIFA LETU. PIA TUWAOMBEE WALE WALIO KATIKA SHIDA MBALIMBALI NA KUWASAIDIA.
Mi kupima naogopa nilipopita kubaya. Sana yani.kama kuwala nimewala mno hata nikipewa adhabu ya kuwakumbuka majina ndio nisamehewe dhambi siwezi kuwakumbuka nakama hii ndude ingekuwa kifutio cha penseli kingekuwa kimeisha.
Asante ungu kwa kunipa maji ya kunywa, chakula, mavazi, sehemu ya kulala na afya njema. Umenijalia hayo mimi, mke wangu na watoto wangu. Asante kwa afya njema za marafiki na jirani zangu.
Nakushukuru MUNGU kwa kunifinyanga utakavyo.Kwa kunipa yote uliyotaka niwe nayo.Kwa wazazi wema na werevu tena wanaokuabudu.Hakika wema wako hautajwi ukaisha.
Osho nndumi lulye shoonga ei andoimu na ewe mbi ekeekukundie mbora nyewe iruwa nde na muna na mumuuyo mweele,amen(kimachame jamani nimeombea chakula)namshukuru mungu kwa riziki hii,couse kuna wengine awana uwezo wa kuipata.