Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Daaaah Jamaa anasikitisha, Wakati naongea nae anakunywa Bia haraka haraka utafikiri ana kiu ya miaka mingiNimeongea nae mambo kadhaa akanambia Maisha yake sio Mazuri na analala Kwa Watu tu, kimsingi amekonda Sana.[emoji3064][emoji15][emoji3064]
Philipp Nyandindi? One of the game losers
.
Fort feud futureDaaaah Jamaa anasikitisha, Wakati naongea nae anakunywa Bia haraka haraka utafikiri ana kiu ya miaka mingi
Hii ngoma ina beat kali sana.Eyo ni check eyo ninacheck ninavyo ng'ara
Tusahau yote yenye yaliyopita na tugange mapya na yakuja..."Akiiipendacho binti, mwanaume lazima utanunua....Philip Nyandindi
Ulikua form II, heshima yako bro😂🤣😂Hii ngoma ina beat kali sana.
Eyo nicheck...
Nicheck niko VIP na.mastar kibao
Walionyoosha vidole kukiri wangu ufanisi
Napenda sana pombe napenda sana mademu
Napenda sana kujirusha yani kifupi ni starehe
Enzi hizo nikiwa kidato cha pili... Kweli nmezeeka
Kabisa, yani humu tunabishanaga na watoto na wadogo zetu mnatukosea heshima kabisa muda mwingineUlikua form II, heshima yako bro😂🤣😂
"Mkuu wa Mkoa" ngoma tamu sana aiseeLeo nimemuona O Ten maeneo ya Juwata hapa Morogoro Mjini. Sasa bahati mbaya sikuwa nimemjua ila vijana wa Bajaji wanaenda Kilakala wakamuita ndiyo nikashtuka kumbe huyu ni O Ten.
Jamaa amechoka sana, Maisha yake mabov, I wish niseme tumchangie maana ana Maisha magumu sana. Nimeongea nae mambo kadhaa akanambia Maisha yake sio Mazuri na analala Kwa Watu tu, kimsingi amekonda Sana.
Any way Tumshukuru Mungu kwa kila jambo[emoji18][emoji18]