Tumshukuru Mungu kwa neema anazotujalia licha ya kuwa sisi ni wadhambi

Tumshukuru Mungu kwa neema anazotujalia licha ya kuwa sisi ni wadhambi

Azimio la kazi

Senior Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
138
Reaction score
452
Hatuwezi mlipa Wala muhonga Mungu ili atujibu hitaji za mioyo yetu.

Asubuhi hii ya leo lila mwana JF aombe Sala hii.

"MUNGU wa mbinguni asanteh kwa wema na neema zako, licha ya kuwa sisi ni wadhambi lakini Neema yako ni kuu, Ee Mungu endelea kutupatia hitaji za mioyo yetu, nasi hatuna cha kukulipa Zaid ya kukushukuru na kukuabudu. Jina lako litukuzwe kwa mataifa Yote."
 
Back
Top Bottom