Tumshukuruni sana MUNGU kwa tulichopata kutoka bodi ya mikopo!!

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Salam wana jamvi wenzangu,
kwanza kabisa naombeni tumshukuruni BWANA MUNGU kwa wale ambao tumepata mikopo. Jamani mimi binafsi sikutegemea kabisa kupata mkopo kwa sababu nilichagua course ambazo ni non priority!
Jamani nimepigwa na bumbuwazi pale niliposoma jina langu kutoka NIT likiwa na sh3,409,500! Sijaamini kabisa!
Jamani hongereni na wenzangu mliopata mikopo!
 
ama kweli mungu ni mkubwa..nasifa tunamrudishia i was non prioroty but nimepata loan;;;;thkz god
 
He! Na nyie ni great thinkers? Ww kusoma BURE ni kudra za Mungu au ni jukumu la Serikali kwa7bu unatozwa kodi?
 
He! Na nyie ni great thinkers? Ww kusoma BURE ni kudra za Mungu au ni jukumu la Serikali kwa7bu unatozwa kodi?

mkubwa mbona unakuwa kama si mwelewa?
Ina maana hata kama ni jukumu la serikali kutoa mikopo,
tukimshukuru MUNGU wetu ni makosa?
Au we hauna dini?!
 
na kumbuka utarudisha kwa style iyoiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…