Tumtakie heri Manula: Apone haraka

Tumtakie heri Manula: Apone haraka

Pia watu walio karibu naye au wenye taarifa yake tupeni update ya maendeleo yake.
 
Hebu tutumie uzi huu kumtakia heri na kumjulia hali Aishi Manula, Mungu amponye haraka na kumpa afya njema!
Manula nakutakia afya njema na Mungu akuponye na kukulinda! Tabasamu- Mungu yuko upande wako!
Tumtakie tu heri apone haraka pasipo hata kutuambia anaumwa nini? 🙄
 
Kwa taarifa iliyopo kwenye page ya kocha, Manula a naendelea vizuri, na kesho atakuwepo kwenye mazoezi na safari ya kwenda Sudan atakuwepo
 
Get well soon Saido Ntibazonkinza (kama unaumwa kweli lakini)
 
Back
Top Bottom