Tumtendeje mtu huyu?

Tumtendeje mtu huyu?

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Nataka kutengeneza mtandao wenye hilo jina la Marekani.com.

Kama Mswahili uliyeko Tanzania, au popote pale; ungependa kuona taarifa gani, au huduma zipi kwenye mtandao wa Marekani.com?Natanguliza shukrani.

Mlenge
 
WTF..mtanzania marekani yanini sisi sasa? We wameshakupiga 'msimiki mwanule' lmao
 
Kinyambiss, unaongea Kiingereza kigumu! Hilo limao la 'msimiki mwanule' ndio lipi?
 
Kinyambiss, unaongea Kiingereza kigumu! Hilo limao la 'msimiki mwanule' ndio lipi?
This domain is currently listed for sale at Sedo.com

BTW, resize picha mkuu! Inaboa hata kuiangalia!
 
Mkuu Mlenge,

Limeshakua tangazo,hebu tujiandae kulipia JF ,lol
 
Hueleweki na kama ni tangazo bas lipia. Lakini hiyo bendera na u-tz wapi na wapi? Na title mbona haieleweki?
 
Pape,
Thanks for the flag. I have edited the original flag.


Bigirita, Selous, nyani <abiziani>;

Namiliki marekani.com. Nataka kutengeneza website. Naomba ushauri wa bure nini kiwemo kwenye hio website?


Ben,
Naomba tu ushauri, siyo tangazo 🙂


Akili Kichwani
Huu ni uzalendo pia.
Anga la Marekani ni mali yetu, kwa vile anga letu ni mali yao. Sisi dugu moja.

Mlenge
 
Back
Top Bottom