Tumuelewe Kiranga!.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170
Wengi wetu tulikuwa tunamchukulia Kiranga kama mtu asiyependa dini lakini kupitia mjadala aliourudisha juzi Deadbody na badae mods wakafanya yao kuunga na thread ya RGforever nimeweza kuelewa kumbe mkuu Kiranga ule mtazamo wake juu ya dini upo upande gani. Kama alivosema yeye ni libertan basi nampongezi kuuona mwanga-nusu ingawa nasikitika hajaweza kujua Mungu anayeona ni blasiphemy yawezekana akawa anamuona katika views/mtazamo tofauti.
Nachokushauri mkuu Kiranga pitia na mada ya theism katika muda wako uweze jua au tuweze eleweshana huyu Mungu katika view ingine isiyohusisha sadaka😉. Mimi ni Muumini katika mfumo wa Deism sababu niiliona/nilifatilia mantiki yake. statement yako imenifikirisha sana na tukitumia concept ya logical reassoning nachelea sema (ingawa siruhusiwi hukumu), Kiranga umeutumia ubongo wako vizuri; you gotta seat in Heaven.

- wick
Mods msihamishe, huu sio uzi wa dini shubaaamit!!!!...
 
naona unamchokoza genius wangu

Kiranga
[emoji23] hii nii kumsifia sitaki mijadala nae, masuala ya kuniweka library weekend kufatilia vitabu vya kumuelekeza sihitaji
 
[emoji23] hii nii kumsifia sitaki mijadala nae, masuala ya kuniweka library weekend kufatilia vitabu vya kumuelekeza sihitaji
HAHAAAA ...SAWA
hata mimi ningepnda aachwe apumzike kidogo aiseee
 
Kama hakuna mungu/ Mungu kuna nini?

Hua nasoma jarida la Amkeni! La mashahidi wa Yehova, hua wana swali lao baada ya kuelezea kitu, mfano ufanyaji kazi wa goti, swali husema hivi...

Unadhani huu mfumo ulitokea bahati mbaya au kuna mtu aliubuni?
 
kuna uzi wa RGforever wameielezea na ukiupitia utapata majibu yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…